VIDEO: Cyprian Musiba afunguka mazito, asema Mbowe na Lema ni watu hatari sana
byMuungwana Blog-
0
Mkurugenzi wa kampuni ya CZI, Cyprian Musiba amekutana na waandishi wa Habari Dodoma ambapo ameongelea kuhusu baadhi ya watu wanaolichafua taifa na Serikali kuwaacha bila kuwachukulia hatua.