Msanii wa kizazi kipya Wyse alie chini ya usimamiza wa mwanamuzki Ben Pol amesema kuwa yeye na ebitoke hawana mahusiano yoyote ya kimapenzi zaidi ya urafiki tu, na kuhusu picha za kuwa wana kiss ile ilikuwa ni kazi na walifanya vile ili kutengeneza uhalisia
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.............USISAHAU KUSUBSCRIBE..................
