Chama Cha ACT Wazalendo kupitia Ngome yake ya Wanawake kimesema Serikali inapaswa kuchukua hatua dhidi ya mauaji yanayofanywa dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani sambamba na kuhakikisha inatunza demokrasia nchini ikiwemo kurushwa kwa matangazo ya Bunge, kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
