VIDEO: Ney wa Mitego Anusurika Kifungo

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney Wa Mitego leo amenusurika kufungiwa kujihusisha na shughuli za mziki ambapo leo aliitwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mh, Juliana Shonza na kuhojiwa na kukiri makosa na kuahidi kubadilika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi