Kituo Cha Haki za Binadamu Nchini LHRC, kimetoa tathimini ya uchaguzi mdogo wa majimbo mawili ya Siha na Kinondoni huku kikitaja kasoro na mapungufu yaliyojitokeza na kutoa ushauri kwa Tume ya Uchaguzi NEC, Vyama vya Siasa, Polisi na Wananchi ili kuhakikisha mapungufu hayo hayajitokezi katika chaguzi zijazo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ...USISAHAU KUSUBSCRIBE