Watu 6 waripotiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maporomoko ya ardhi yaliotokea Kaskazini mwa Nigeria. Maporomoko hayo yametokea baada ya mvua kali kunyesha katika eneo hilo.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na shirika la habari la Nigeria la NAN, mvua zilizonyesha Sokoto ndizo zilizobabisha maporomoko hayo. Majumba kadhaa pia yameporomoka kutokana na mvua hizo.