BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki kwa ajali
byMuungwana Blog 5-
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma.