Hili ndio jina la mtoto mpya wa kifalme Uingereza

Nchi ya Uingereza wiki hii imempokea mtoto mpya wa familia ya kifalme, ambaye ni mtoto wa Prince William na mkewe Catherine wa Cambridge na wamekuwa wakisubiri kujua jina la mtoto.

Hatimaye familia hiyo ya kifalme imetaja jina la mtoto wao huyo wa tatu kuwa Prince Louis (linalotamkwa Lui sio Luis) wa Cambridge.

Kate na William kwasasa wana watoto watatu, ambao ni Prince George na Princess Charlotte na mtoto huyu wa tatu aliyezaliwa jana.
Mpya zaidi Nzee zaidi