Man City waanza kusherehekea Ubingwa

 Mashabiki na wachezaji wa klabu ya Manchester City wameanza kusherehekea ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza mara baada ya hasimu wao timu ya Manchester United kukubali kipigo cha bao 1 – 0 dhidi ya West Brom.

Mashabiki wa Manchester City wakiwa wamejitokeza sehemu mbalimbali za mitaa wakisherehekea ubingwa wao wa ligi kuu ya Uingereza

Wachezaji wa klabu ya  Manchester City wakiwa katika shamrashamra za sherehe za ubingwa


Manchester City , Vincent Kompany
Mpya zaidi Nzee zaidi