Nyumbani Mbowe atuma salamu za pongezi kwa Karume byMuungwana Blog 1 -4/16/2018 01:00:00 PM 0 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amempongeza Fatma Karume baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa TLS. Facebook Twitter