Baraza la Habari Tanzania wametaja idadi ya wateule ambao wameshiriki katika ushindani wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2017. Jopo la majaji nane wakiongozwa na mwenyekiti wake Ndimara Tegambwage, wameteua jumla ya waandishi 49 ambao wataingia katika kinyang'anyiro cha mashindano ya EJAT 2017 kati ya wateule hao 49 wateule 30 wanatoka kwenye katika magazeti, 10 wanatoka redio na 9 Televisheni, Tuzo hizo za umahiri wa Uandishi wa Habari Zitatolewa tarehe 12/may mwaka huu katika ukumbi wa Golden Tulip.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE....................
