VIDEO: Serikali yatoa kauli kuhusu uhaba wa dawa nchini
byMuungwana Blog 1-
0
"Vifaa tiba vyetu tunanunua kutoka nje uzalishaji wa ndani ni wa aslimia sita tu, maana yake kwamba dawa huchukua miezi 6 hadi 9 kufika hapa nchini hivyo hii inapelekea kuwa na uhaba wa dawa mara kwa mara" Ummy Mwalimu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE