Watu 21 wamepoteza maisha katika mapigano kati ya jeshi la Mali,wanamgambo na vikosi vya Ufaransa nchini Mali.
Kwa mujibu wa habari,mapigano hayo yametokea Bani Bango katika wilaya ya Gao.
Katika mapigano hayo askari mmoja na wanamgambo watatu wamepoteza maisha.