4/16/2018

VIDEO: Watu 9 wamefarika, nyumba kujaa maji kutokana na Mvua Zinazoendelea


Watu wapatao 9 wameripotiwa kufa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa takribani siku tatu mfululizo jijini dar es salaam, ambapo wengine wameripotiwa kuangukiwa na ukuta wakiwemo mama na mtoto wakiwa wamelala na mwingine kuteleza kwenye daraja, hayo yamesemwa na kamanda kanda maalum ya Dar es salaam SACP Lazaro Mambosasa leo jijini dar es salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................