Nyumbani BREAKING NEWS: MBUNGE wa Chadema Afariki dunia Muhimbili byMuungwana Blog 3 -5/26/2018 04:20:00 PM 0 MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea Mwalimu Bilago amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipata matibabu. Facebook Twitter