VIDEO: Ali Kiba Afunguka kichapo cha goli 4-2, Samatta aliniambia nimstiri
byMuungwana Blog 1-
0
Ali Kiba amefunguka na kusema kuwa mechi yao ilichezwa leo ilikuwa ngumu na walipambana ili kila hali ili kupata matokeo lakini bahati haikuwa kwao na ndio maana wakapata kipigo hicho cha gori 4-2.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE