VIDEO: Mabillioni ya Dk Shika yamfanya Kumiliki Msanii


Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, amefunguka na kutangaza nia ya kujihusisha na masuala ya muziki nchini Tanzania hasa upande wa kuwasimamia wasanii wachanga na wakubwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................

Mpya zaidi Nzee zaidi