VIDEO: Amber lulu: Video Vixen hailipi |Siwezi Ugomvi na Hip Hop |Young D ndio nani


Msanii wa muziki Tanzania ambae pia ni video vixen Amber Lulu ambae alifanya vizuri na ngoma yake ya jini kisirani amezungumza na muungwana Blog kuwa kazi ya kuwa video queen kwenye video za wasanii wengine hailipi na kwa upande wake hawezi kuendelea tena kuwa video vixen bali atajikita kwenye muziki

Vilevile katika pitapita za stori nae inshu  ya ugomvi mpya ambao unavuma katika mitandao ya kijamii kati yake na Young D baada ya kutakwa kuongelea hilo swala alidai hamjui Young D na baadae kusema kuwa hawezi ugomvi na wasanii wa hip hop


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................

Mpya zaidi Nzee zaidi