Mwananchi wa Ununio wahofia usalama wa maisha yao kutokana na kuwapo kwa mamba wawili ambao inasemekana wapo katika moja ya kiwanja ambacho kimetwama maji kwa muda mrefu, ambapo wamedai maji hayo yametokana na mafuriko.
Kwa upande wa mwenyekiti wa serikali za mitaa wa ununio Bw. Mwinyijuma shehe amesema kuwa alipokea malalamiko hayo kutoka kwa wananchi wake ambao waliwaona mamba hao na yeye mwenyewe kwenda kushuhudia, hivyo ameiomba serikali kuwasaidia juu ya hilo.
Aidha Diwani wa Kundunchi Michael Urio Nae ameliongelea swala hilo la kuwapo kwa mamba hao ambao chanzo chake ni mtwamo wa maji katika kiwanja hiko, hiko ametuma maombi yake kwa Rais magufuli kuliangalia swala hilo kwa jicho pevu li kunusuru na kuimarisha usalama wa wnanchi wake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE..................
