VIDEO: Nandy aweka wazi kuhusu kushindwa kufanya kolabo na wasanii wa nje, asema hili kuhusu malkia wa Bongo Fleva


Nandy ameeleza sababu ya kushindwa kufanya kolabo na wasanii wakubwa nje ya Bongo ikiwemo Nigeria ambapo baadhi ya wasanii akiwemo Yemi Alade amewahi kumtaja kuwa ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva wanaomvutia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi