Rais John Magufuli ashangazwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingiza makontena 20 nchini yenye samani mbalimbali na kukataa kulipia kodi akidai kwamba ni msaada kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu kwa mkoa huo.
TAZAMA FULL VIDEO........... USISAHAU KUSUBSCRIBE............
