CCM wapitisha majina ya Wagombea kwenye Majimbo manne
byMuungwana Blog 1-
0
Chama cha Mapinduzi kupitia Kamati kuu maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) kimepitisha majina ya wagombea watakaosimama katika uchaguzi mdogo wa Ubunge kwa tiketi ya CCM.