VIDEO: DC apiga marufuku machimbo ya kokoto Dar


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amepiga marufuku uchimbaji wa kokoto kwenye eneo la machimbo Boko jijini Dar es salaam kutokana na wamiliki wa eneo hilo kutokufuati utaratibu ikiwemo uharibifu wa mazingira na vibali vya uchimbaji, mpaka wakapotoa utaratibu maalumu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi