Serikali yatoa siku saba kuhuisha leseni za magazeti, orodha ya waliokiuka yawekwa bayana


Serikali kupitia Idara ya Habari-Maelezo imetoa siku saba kuanzia leo tarehe 19 Novemba,2018  kwa wamiliki wa machapisho/majarida ambayo muda wa leseni zao  umekwisha kuhuisha leseni zao.


Mpya zaidi Nzee zaidi