Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali haina budi kuongeza utashi wa kiasiasa ili kutekeleza ipasavyo miradi ambayo imepengwa.
Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile zilizopo Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Rais Dkt. John Magufuli.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE