VIDEO: Polisi wadai Tsh. Bilion 12 za Makosa ya Kiusalama Barabarani


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amesema hadi sasa jeshi hilo linadai Bilioni 12 kwa watu waliotozwa faini kutokana na makosa ya kiusalama barabarani.

TAZAMA FULL VIDEO, PIA SUBSCRIBE  

Mpya zaidi Nzee zaidi