Kufuatia kupotoka na kumomonyoka kwa maadili katika nchi yetu ya Tanzania ambayo hiyo imetokana na utandawazi vilevile maisha kuzidi kuwa magumu, Muungwana Tv kupitia kipindi chake cha back to back imepiga stori mbili tatu na mama abasi ambae ni kijana wa kiaka ya sabini ameongelea swala vijana wakike kudanga.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE............
