VIDEO: "Rais Magufuli amefanya miujiza aje na huku tumechoka" Mrema


Mwenyekiti wa chama cha TLP Augustino Lyatonga Mrema leo Novemba 19 amefunguka na kumuomba Rais Mgaufuli kuangalia namna ya mfumo wa vyama vidogo vinavyokosa nafasi kwani ameonekana akifanya miujiza mingi katika kuhakikisha haki na maendeleo yanapatika nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi