VIDEO: DC Jokate Awavaa wanaume, Adai wanaume ni wachoyo


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amewataka wanawake wasiogope kuitwa 'wana kimbelembele' kutokana na kuchangamkia fursa, huku akisema kuwa wanaume ni wachoyo na wengine wanaogopa nguvu ya wanawake katika maendeleo.

“Nawapa changamoto wanawake wenzangu kwani mara nyingi wanaume ni wachoyo, aidha ni wachoyo ama wanaogopa nguvu ya mwanamke, kwani mara nyingi haki zinapiganiwa na hatupewi mikononi tukamate fursa. Tujifunze na tusipende kutosheka,” amesema.



TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE..........
Mpya zaidi Nzee zaidi