VIDEO: Makonda Ashusha Neno zito kwa Majizo na Lulu


Lulu na Majey kwa sasa ni couple ambayo inatazamwa zaidi kwa hapa Bongo kutokana na mahusiano yao kujaa utulivu wa aina yake.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ni miongoni mwa wanakamati wa harusi hiyo ametia neno kile kichoendelea kwa sasa kati ya Majey na Lulu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

"Mafanikio yenu yamebeba watu wengi, na kila hatua inaonyesha hamtanii basi Mungu wangu aendelee kuwaonyesha njia ili mfikapo mkawe msaada na kwa wengine," ameeleza RC Makonda


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE............ 
Mpya zaidi Nzee zaidi