Vyama takribani saba nchini leo Novemba 19 vimeunga na kutoa tamko la kumuomba msajili wa vyama vya siasa Jaji Fransis Mutungi kuwapatia wadau mswada vya vyama vya siasa ili wapate muda wa kuupitia huku huku wakitoa wito kwa watanzania kuwa watulivu na kuachana na maneno maneno yanayoandikwa na kusikika kwenye mitandao ya kijamii.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI .....USISAHAU KUSUBSCRIBE
