Mkurugenzi wa Muungwana Blog /TV na wafanyakazi wote kwa ujumla tunawatakia Watanzania wote kheri na fanaka katika kusheherekea sikukuu ya CHRISTMAS , Tusherekee kwa amani na utulivu ili tuzidi kudumisha amani na usalama katika taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla