https://monetag.com/?ref_id=TTIb RC Makonda atamani kuwa kama Rais Magufuli | Muungwana BLOG

RC Makonda atamani kuwa kama Rais Magufuli


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ametaka viongozi wa dini kumuombea juu ya ndoto yake ya kuwa kama Rais Magufuli.

Makonda ameyasema hayo muda mfupi uliopita akizungumza katika mapokezi ya ndege aina Airbus A220-300 uwanja wa ndege.

Rc Makonda amesema "Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe, hiyo ni ndoto yangu kabisa."
.