Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqaro ni kosa la Jinai Mtu Yeyote kumnyanyasa Mzee kutokana na hali yake huku akiwataka vijana kuacha tabia ya kutotelekeza wazazi wao wanapokuwa wazee kwa kuwa ndiyo waliowasaidia mpaka walipofikia.
Akizungumza na Baraza la Wazee Jiji la Arusha ambaye pia ni mlezi wazee amesema kuwa serikali inaboresha huduma kwa ajili ya wazee ambao wamelitumikia taifa la Tanzania kwa Nguvu zao ambapo kwasasa wanahitaji msaada kutokana na Nguvu zao kuisha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
