VIDEO: Thomas Ulimwengu awaongoza Waarabu kwenye mazoezi ya mwisho Taifa
byMuungwana Blog 1-
0
Klabu ya JS Saoura imefanya mazoezi yake ya mwisho jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika ambao watacheza na Simba Jumamosi ya January 12, 2019.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE