Nyumbani Kikosi cha Simba SC kitakachoivaa Al Ahly byMuungwana Blog 3 -2/12/2019 02:19:00 PM 0 Tayari wekundu wa msimbazi, Simba SC wameanika kikosi chao kitakachoivaa Al Ahly kutoka nchini Misri leo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaocheza majira ya saa 10 jioni uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Facebook Twitter