VIDEO: Dalali afunguka mechi na Al Ahly, Uwanja wetu na Ubwabwa wa kwetu/ Yanga butu butu


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali amefunguka kuusu mechi na Al Ahly ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi  inayotarajiwa kuchezwa leo majira ya saa 10 jioni kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Pia mDalali ameongelea kuhusu mechi yao ya ligi kuu Tanzania Bara Jumamosi dhidi ya Yanga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE