Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua amewapongeza wataalamu wa
Shirika la Umeme Nchini TANESCO kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuhakikisha Umeme
unawafikia wateja licha ya changamoto ambazo zinawakabili.
Dkt. Mwinyimvua ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea Vituo vya kufua Umeme wa gesi vya Ubungo I, Ubungo II, Songas