VIDEO: Taifa Stars yapangwa na Waarabu AFCON, Uganda kufa au kupona


Hatimaye makundi ya michuano ya AFCON 2019 ambayo inatarajiwa kufanyika nchini Misri kuanzia mwezi Juni yamepangwa huku Tanzania tukiangukia kundi D tukiwa na timu za Senegal, Algeria na Kenya.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi