VIDEO: Ajali ya basi yaua mwanafunzi wa miaka 3


Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Augustino Senga, amethibitisha kutokea kwa ajali ya basi aina ya Scania ambalo lilikuwa likitokea Babati kuelekea Dar es Salaam ambapo limegongana uso kwa uso na gari aina ya Hiece ambalo lilibeba wanafunzi wa Silver Leaf Academy na kusababisha kifo cha mtoto mmoja Osiligi Emmanuel mwenye umri wa miaka mitatu na nusu.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia