VIDEO: Msaidizi wa Dkt.Mengi aelezea ratiba ya mazishi Yake
byMuungwana Blog 3-
0
Msaidizi wa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, DR. Reginald A. Mengi, amesema kuwa hadi sasa bado hawajapanga ratiba ya mazishi kwani bado wanafamilia hawajakaa vikao vya kufanya maamuzi hayo.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE......