Loading...

5/15/2019

VIDEO: Mtoto wa miaka 12 amshangaza sheikh kishki

Msichana wa miaka 12 aliyehifadhi Qur-aan tukufu juzuu 30 kwa mara ya kwanza ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya Al-Hikma Faundation yatakayofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Mei 19 ambapo mgeni rasmi atakua ni Rais Magufuli.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU KUSUBSCRIBE

Loading...