Loading...

5/15/2019

Mimi Mars ataja jina la kolabo yake na Vanessa Mdee


Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mars amesema kuwa tayari wimbo wake na Vanessa Mdee umeshafanyika na unakwenda kwa jina la Expensive.

Muimbaji huyo ameeleza hayo kupitia kipindi cha Block 89 cha Wasafi FM ambapo amesema pia Expensive ndio jina la EP ya Vanessa Mdee.

Vanessa Mdee na Mimi Mars ni watu kutoka familia moja.
Loading...