Meli 2 za mafuta zalipuka katika bahari ya Oman.
Televisheni ya taifa ya Iran imeripoti kwamba meli mbili kubwa za mafuta ghafi zimelipuka katika bahari ya Oman. Baada ya mlipuko huo meli hizo zilijaribu kutafuta msaada wa dharura kutoka nchi za ghuba, Imeripotiwa kwamba moja ya meli hilo ilikuwa imeanza kuzama.