Loading...

6/14/2019

Picha: Hazard atambulishwa rasmi Real Madrid

Baada ya kutangazwa kuwa klabu ya Real Madrid imemfanyia vipimo vya afya Eden Hazard na kumtambulisha kwa uongozi, ilifika wakati wa mashabiki wa Real Madrid kupata fursa ya kumuona staa huyo akitambulishwa.

Loading...