Ureno yatwaa Ubingwa wa UEFA National League


Timu ya taifa ya Ureno wamekuwa mabingwa mara mbili kwenye mashindano ya UEFA National League mara baada ya kuifunga goli 1-0 Uholanzi kwenye mchezo wa Fainali.

Ureno wamekuwa mabingwa mara mbili katika mashindano manne yaliyopita waliyoshiriki.
1 : EURO 2016.
2 : EURO NATIONAS LEAGUE.

Mpya zaidi Nzee zaidi