Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Matrida Mwenei amelalamikia kuzungushwa kupatiwa malipo yake ya matibabu licha ya kuandika barua na kufikisha katika ngazi husika lakini kumekuwepo na usumbufu wa kuidhinishiwa fedha hizo jambo ambalo amedai kuwa linampa shida na hali ya sintofahamu kutokana na ugonjwa wake kuendelea kumsumbua.
Mama huyo pamoja na kero nyingine ametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge pindi alipofanya ziara na kuwasikiliza wananchi katika wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE
