Mkuu wa mkoa Kagera brigedia Marco Elisha Gaguti amesema kuwa atahakikisha anamaliza changamoto zinazokikabili kiwanda cha cha kahawa cha Tanica na kuaidi kukikisimamia kufikia asilimia 100% ya uzalishaji wake na kuwata wafanyakazi wa kiwanda hicho kuwa Wa moja na kufanya kazi kwa mshikamano ili kuweza kukinusuru kufirisika ambapo wao watakuwa waathirika wa kwanza siku kikifungwa
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE
