VIDEO: Gazeti la Jamuhuri tumbo joto, latakiwa kuomba radhi
byMuungwana Blog 1-
0
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Chama cha waalimu Tanzania (CWT),Clement Mswanyama amesema tuhuma zilizo chapishwa katika Gazeti la Jamuhuri la Juni 04 kuhusu mali za chama hicho si za kweli.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE...