MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge amewataka maafisa elimu ndani ya mkoa huo kuzingatia suala la ukaribu wa mtumishi na mwenza wake wakati wa kufanya uhamisho.
Rc Mahenge amefikia hatua hiyo katika ziara yake mara baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa mmoja ya wananchi waliolalamikia suala la umbali wa mtumishi mmoja na mwezi wake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
